Ni saa mbili asubuhi katika eneo la Kasarani, kaunti ya Nairobi nchini Kenya…Ninakutana na daktari wa masuala ya afya ya binadamu Hamisi Kote Ali akijiandaa kuanza kazi yake, kinachonivutia macho ni ...
Kutembea hakuhitaji vifaa maalum au uanachama wa sehemu za mazoezi (gym) na bora zaidi, ni bure kabisa. Kwa wengi wetu, kutembea ni kitu tunachofanya kama ni jambo la kawaida tu. Haihitaji juhudi za ...
Je mtindo wako wa kutembea ni upi? Mtindo huo umetokana na nini na unaakisi nini kukuhusu? Katika makala ya Vijana Mchakamchaka, Jacob Safari anaangazia mtindo wa vijana kutembea wakidunda.