Katika medani za siasa nchini Tanzania kuna neno jipya limeingia na kusambaa kama moto wa nyika, 'mwambafai'. Neno hilo limetokana na hotuba ya hivi karibuni ya rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya ...
Rais mstaafu wa awamu ya nne nchini Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ametoa ufafanua kuhusu hotuba yake aliyoitoa Oktoba 8, 2019 katika kongamano la miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere. Hotuba ...