Dhihaka ni mbinu ya ghiliba inayotaka kuwafanya watu watilie shaka akili zao timamu au uwezo wao wa kuona ukweli. Wale wanaoitumia mara nyingi hufanya hivyo makusudi ili kupata kitu. "Ni tabia ya ...